Kiukwuani-Aboh-Ndoni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiukwuani-Aboh-Ndoni''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukwuani, Waaboh na Wandoni. M...'
 
Mstari 9: Mstari 9:
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]


[[de:Ukwuani-aboh-ndoni]]
[[en:Ukwuani-Aboh-Ndoni language]]
[[en:Ukwuani-Aboh-Ndoni language]]
[[hr:Ukwuani-aboh-ndoni jezik]]
[[pms:Lenga Ukwuani-Aboh-Ndoni]]
[[pms:Lenga Ukwuani-Aboh-Ndoni]]

Pitio la 04:57, 6 Juni 2012

Kiukwuani-Aboh-Ndoni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukwuani, Waaboh na Wandoni. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukwuani-Aboh-Ndoni imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukwuani-Aboh-Ndoni kiko katika kundi la Kiigboidi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukwuani-Aboh-Ndoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.