Wikipedia:Mikutano/Usimulizi wa Hadithi Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8: Mstari 8:
Leo hii, umma kwa ujumla yafikiria kwamba Wikipedia huandikwa na watu waliolipwa kuandika makala ya Wikipedia. Hawatambui ya kwamba wahariri wa Wikipedia hutoa jitihada ya bila malipo na kuwa hakuna yeyote yule hulipwa kuhariri Wikipedia. Kurekebisha upotofu huu na kutia umma moyo kuwa wahahriri, Wakfu wa Wikimedia pamoja na Wikimedia Kenya wanakusanya hadithi za kibinafsi kutoka kwa wahariri wakenya wa Wikipedia kuhusu jinsi Wikipedia imeathiri maisha yao. Kwa kukusanya na kusimulia hadithi za kibinafsi, umma kwa ujumla yaweza tambua jinsi Wikipedia huundwa na watu wanaoandika Wikipedia hivyo basi kutokea na uwezekano wa hao wenyewe kuwa wahariri.

If you have an interesting story to tell about yourself and Wikipedia (or if you know anyone who does), please contact Victor Grigas:
Kama una hadithi ya kuvutia kuhusu wewe na Wikipedia (ama kama wajuwa yeyote anayo) tafadhali wasiliana na Victor Grigas:

Kama una hadithi ya kuvutia kuhusu wewe na Wikipedia (ama kama wajuwa yeyote anayo) tafadhali wasiliana na Victor Grigas.

Victor Grigas
Victor Grigas

Pitio la 03:26, 1 Juni 2012

Victor Grigas, Msimulizi Hadithi kutoka Wakfu wa Wikimedia atasafiri kuelekea Kenya mwezi wa Agosti 2012 kwa shughli ya kuhoji wachangiaji, wafadhili na watumiaji wa miradi mabli mbali ya Wikimedia juu ya ushitika/uhusiano wao na Wikimedia.

Historia

Usimulizi Hadithi umetummika kimsingi kukusanya maoni yenye kutia moyo ya athari ya miradi ya Wikimedia kote duniani huku ikijaribu kujibu ni kwa nini watu huchangia na kutumian miradi ya Wikimedia. Yote haya yakiwa jihada ya kuhifadhi na kuongeza nambari ya wachangiaji, wafadhili na watumiaji.

Victor

Ujumbe wa Victor

Leo hii, umma kwa ujumla yafikiria kwamba Wikipedia huandikwa na watu waliolipwa kuandika makala ya Wikipedia. Hawatambui ya kwamba wahariri wa Wikipedia hutoa jitihada ya bila malipo na kuwa hakuna yeyote yule hulipwa kuhariri Wikipedia. Kurekebisha upotofu huu na kutia umma moyo kuwa wahahriri, Wakfu wa Wikimedia pamoja na Wikimedia Kenya wanakusanya hadithi za kibinafsi kutoka kwa wahariri wakenya wa Wikipedia kuhusu jinsi Wikipedia imeathiri maisha yao. Kwa kukusanya na kusimulia hadithi za kibinafsi, umma kwa ujumla yaweza tambua jinsi Wikipedia huundwa na watu wanaoandika Wikipedia hivyo basi kutokea na uwezekano wa hao wenyewe kuwa wahariri.

Kama una hadithi ya kuvutia kuhusu wewe na Wikipedia (ama kama wajuwa yeyote anayo) tafadhali wasiliana na Victor Grigas:

Victor Grigas http://en.wikipedia.org/wiki/User:Victorgrigas vgrigas@wikimedia.org

Hadithi

Washiriki

Je, una hadithi ya kusimulia; basi tia saini hapa

Xelawafs (majadiliano) 02:53, 1 Juni 2012 (UTC)[jibu]