Tofauti kati ya marekesbisho "Mkuu wa dola"

Jump to navigation Jump to search
38 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
r2.7.3) (Roboti: Imeongeza hy:Պետության գլուխ; cosmetic changes
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: io:Chefo di stato)
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza hy:Պետության գլուխ; cosmetic changes)
'''Mkuu wa dola''' (pia: '''Mkuu wa nchi''') wa [[nchi]] ni kiongozi mwenye cheo kikuu. Lakini si lazima ya kwamba mkuu wa dola ana madaraka mengi sana. Hali inategemea na [[katiba]] ya nchi na utaratibu wake wa kisiasa. Pia si lazima ya kwamba nafasi ya mkuu wa [[dola]] inashikwa na mtu mmoja kwa sababu madaraka yake yanaweza kukabidhiwa pia kwa kamati ya viongozi.
== Mkuu wa Dola katika Jamhuri ==
Katika mfumo wa [[jamhuri]] ya kisasa mkuu wa dola mara nyingi ni [[rais]] aliyechaguliwa na wananchi wote au na [[bunge]].
 
Katika nchi nyingi rais ana pia nguvu ya [[veto]] juu ya sheria zilizopitishwa na bunge. Hii ni pamoja na nchi ambako sheria zote au sheria kadhaa zinapaswa kutiwa saini na rais baada ya kupitishwa na bunge. Rais akikataa azimio la bungo haiwi sheria. Ama inarudi bungeni au [[mahakama kuu]] inapaswa kutoa azimio.
 
== Mkuu wa Dola katika Ufalme ==
Katika nchi zilizo chini ya muundo wa [[ufalme]] (pamoja na [[emirati]], [[usultani]] au [[utemi]]) mkuu wa dola anaitwa [[mfalme]] au [[sultani]] n.k.
 
Lakini wafalme wengi wako chini ya utaratibu wa katiba ya nchi na mara nyingi wana nafasi inayolingana na rais katika mfumo wa serikali ya kibunge. Katika nchi hizi sheria na maazimio ya mahakama yanaweza kutangazwa kwa "jina la mfalme" lakini hali halisi kiongozi mwenye madaraka makubwa ni waziri mkuu kama kiongozi wa serikali aliyechaguliwa au kuthebitishwa na wabunge wengi. Katika [[Ufalme wa Maungano]] (Uingereza) malkia inatangaza kila mwaka shabaha za serikali bungeni lakini hali halisi anasoma tu hotuba iliyoandikwa na waziri mkuu.
 
[[CategoryJamii:Siasa]]
[[jamiiJamii:Serikali]]
 
[[ar:رأس الدولة]]
[[hr:Poglavar države]]
[[hu:Államfő]]
[[hy:Պետության գլուխ]]
[[id:Kepala negara]]
[[io:Chefo di stato]]
44,163

edits

Urambazaji