Wikimania : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza ne:विकिमेनिया
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza pnb:وکیمینیا
Mstari 57: Mstari 57:
[[no:Wikimania]]
[[no:Wikimania]]
[[pl:Wikimania]]
[[pl:Wikimania]]
[[pnb:وکیمینیا]]
[[pt:Wikimania]]
[[pt:Wikimania]]
[[ru:Викимания]]
[[ru:Викимания]]

Pitio la 08:21, 20 Mei 2012

Logo ya Wikimania 2006.

Wikimania 2006 ni mkutano wa pili wa kila mwaka wa kimataifa wa Wikimedia. Mkutano wa kwanza wa Wikimania, ulifanyika mwaka 2005 huko nchini Ujerumani. Mkutano huu uliafanyika kunako mwezi Agosti 4, 2006 huko Cambridge, Massachussetts, Marekani. Wikimania ni mkutano wa kijamii na kisayansi ambao utajumuisha washiriki wa miradi ya Wikimedia ili kubadilishana mawazo, kujenga mahusiano, na kutoa taarifa za utafiti na juhudi mbalimbali za miradi hiyo.

Mkutano huu utatoa nafasi pia kwa washiriki wa miradi ya Wikimedia kukutana na kubadilishana mawazo na umma kuhusu miradi ya zana huria za teknolojia, maarifa huria na miradi ya wiki duniani.

Wikimania 2007 ni mkutano wa tatu wa kila mwaka wa kimataifa wa Wikimedia utakaofanyika Agosti 3-5, Taipei, Taiwan. Mkutano wa kwanza, Wikimania 2005, ulifanyika mwaka juzi nchini Ujerumani. Mkutano wa pili, Wikimania 2006 ulifanyika Agosti 4-6 huko Cambridge, Massachussetts, Marekani.

Wikimania ni mkutano wa kijamii na kisayansi ambao unajumuisha washiriki wa Miradi ya Wikimedia ili kubadilishana mawazo, kujenga mahusiano, na kutoa taarifa za utafiti na juhudi mbalimbali za miradi hiyo.

Mkutano huu hutoa nafasi pia kwa washiriki wa miradi ya Wikimedia kukutana na kubadilishana mawazo na umma kuhusu miradi ya zana huria za teknolojia, maarifa huria na miradi ya wiki duniani.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: