Brazzaville : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: tr:Brazzaville
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza chy:Brazzaville; cosmetic changes
Mstari 24: Mstari 24:
Brazzaville ina [[bandari]] ya mtoni wa Kongo na mwanzo wa [[reli]] kuelekea pwani.
Brazzaville ina [[bandari]] ya mtoni wa Kongo na mwanzo wa [[reli]] kuelekea pwani.


==Vitabu==
== Vitabu ==
* Maria Petringa. ''Brazza, A Life for Africa'' (2006). ISBN 9781-4259-11980
* Maria Petringa. ''Brazza, A Life for Africa'' (2006). ISBN 978-1-4259-1198-0


[[Category:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Category:Jamhuri ya Kongo]]
[[Jamii:Jamhuri ya Kongo]]
[[Category:Miji ya Jamhuri ya Kongo]]
[[Jamii:Miji ya Jamhuri ya Kongo]]
[[Category:Brazzaville| ]]
[[Jamii:Brazzaville| ]]


[[af:Brazzaville]]
[[af:Brazzaville]]
Mstari 45: Mstari 45:
[[bs:Brazzaville]]
[[bs:Brazzaville]]
[[ca:Brazzaville]]
[[ca:Brazzaville]]
[[chy:Brazzaville]]
[[ckb:برازاڤیل]]
[[ckb:برازاڤیل]]
[[cs:Brazzaville]]
[[cs:Brazzaville]]

Pitio la 20:59, 19 Mei 2012


Jiji la Brazzaville
Nchi Jamhuri ya Kongo
Kinshasa, Brazzaville na mto Niger

Brazzaville ni mji mkuu wa Jamhuri ya Kongo. Ina wakazi 1,115,773 (mwaka 2005). Iko kando la mto Kongo ikitazama mji wa Kinshasa ng'ambo ya mto.

Jina la Brazzaville limetokana na Mfaransa Pierre Savorgnan de Brazza alinunua hapa ardhi kutoka kwa chifu Makoko na kujenga kituo kilichokua kuwa mji baadaye.

Tangu mwaka 1898 Brazzaville ilikuwa mji mkuu wa Kongo ya Kifaransa ikawa na na wakazi 5,000 mnamo 1900 walioongezeka kuwa lakhi moja mwaka 1950.

Mwaka 1940 Brazzaville ilikuwa kwa muda mfupi mji mkuu wa Ufaransa Huru yaani Ufaransa usio chini ya Ujerumani hadi kuhamia kwa serikali kwenda Algier.

Brazzaville ina bandari ya mtoni wa Kongo na mwanzo wa reli kuelekea pwani.

Vitabu