Gujarat : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
TjBot (majadiliano | michango) d r2.7.2) (Roboti: Imeondoa: as:গুজৰাট |
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza is:Gujarat |
||
Mstari 52: | Mstari 52: | ||
[[hu:Gudzsarát]] |
[[hu:Gudzsarát]] |
||
[[id:Gujarat]] |
[[id:Gujarat]] |
||
[[is:Gujarat]] |
|||
[[it:Gujarat]] |
[[it:Gujarat]] |
||
[[ja:グジャラート州]] |
[[ja:グジャラート州]] |
Pitio la 06:25, 13 Mei 2012
Gujarat ni jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho la Uhindi. Mji mkuu ni Gandhinagar ambayo ni mji mpya uliopewa jina lake kwa kwa heshima ya Mahatma Gandhi alyiezaliwa Gujarat.
Gujarat ina eneo la 196,024 km² zinazokaliwa na wakazi milioni 50. Lugha rasmi ni Kigujarati inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi. Watu wengi ni Wahindu (89%), kuna pia Waislamu (9%) na Wajain (1%).
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gujarat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |