Uzinifu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: mr:वासना
d Roboti: Imeongeza id:Hawa nafsu
Mstari 29: Mstari 29:
[[he:תשוקה]]
[[he:תשוקה]]
[[hi:वासना]]
[[hi:वासना]]
[[id:Hawa nafsu]]
[[io:Luxurio]]
[[io:Luxurio]]
[[it:Lussuria]]
[[it:Lussuria]]

Pitio la 12:31, 10 Mei 2012

Mchoro wa Goya Mujeres riendo (Wanawake wakicheka).
Vilema vikuu

Uzinifu ni hamu isiyoratibiwa ya ashiki katika maisha ya binadamu.

Kwa kawaida watu wanakubaliana kwamba utafutaji wa ashiki unahitaji kuwa na mipaka, hasa usilenge ndugu wa damu.

Katika maadili unaorodheshwa kati ya vilema vikuu vilivyo mizizi ya dhambi nyingine, Biblia inavyoonyesha wazi katika habari ya mfalme Daudi kuzini na mke wa askari wake Uria.


Viungo vya nje