Majadiliano ya mtumiaji:Xelawafs : Tofauti kati ya masahihisho

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 35: Mstari 35:
==Signpost==
==Signpost==
Hi, please check I got the caption right [http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wikipedia_Signpost/2012-05-07/News_and_notes at the bottom]. (User:Tony1) '''[[Mtumiaji:Tony1|Tony1]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Tony1|majadiliano]])''' 03:46, 7 Mei 2012 (UTC)
Hi, please check I got the caption right [http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wikipedia_Signpost/2012-05-07/News_and_notes at the bottom]. (User:Tony1) '''[[Mtumiaji:Tony1|Tony1]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Tony1|majadiliano]])''' 03:46, 7 Mei 2012 (UTC)
:yap, you got it right, thanks '''[[Mtumiaji:Xelawafs|Xelawafs]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Xelawafs#top|majadiliano]])''' 09:32, 7 Mei 2012 (UTC)

Toleo la sasa la 09:32, 7 Mei 2012

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 10:13, 28 Novemba 2009 (UTC)[jibu]

https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Majadiliano_ya_mtumiaji:Xelawafs&action=edit Bwana Xelawafs, umeleta kurasa kadhaa hasa za orodha. Kwa bahati mbaya viungo vingi sana vimeharibika kwa kuingiza nukta au koma. Linganisha orodha ya makosa yanayorudia mara nyingi, hasa Na 8. Inaweza kukusaidia, pamoja na wikipedia:Mwongozo. --Kipala (majadiliano) 21:51, 11 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

Hi, maybe this is useful/Hujambo, labda hii ni muhimu: en:Federal_institutions_of_Tanzania. --Mr Accountable (majadiliano) 10:44, 12 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

Salam. Nimeona ukiacha ujumbe kwenye baadhi ya kurasa za watumiaji wenzetu wenye kuhusika na shindano hili. Ujumbe ulikuwa:

Hi,

I'm taking part in kwc and you just awarded me points for the articles I translated (my username is Xelawafs). Thanks for your comments. Could you give me any pointers on areas I can improve on to get more points say around 1.5 - 2.5.

Unaomba upewe pointi? Je, ni kweli wamekutunza? Haya, ukiwa unaulizia namna ya kupata pointi nyingi zaidi, basi ni lazima uandike makala isiyopungua vichwa zaidi ya vinne. Yaani, maelezo yenyekujitosheleza! Pili, tutaangalia ni vipi umeweza kuchangia makala zako katika siku hizi. Mengineyo: ukimaliza kuandika ujumbe katika ukurasa wa mtumiaji/kurasa za majadiliano za makala, basi ni lazima umalizie na --~~~~. Alama hizo zitataja jina na muda ulioacha ujumbe wako. Wasalaam!--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:18, 14 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

Haya, hamna shida! Ukitaka kupata mfano mzuri, tafadhali angalia makala ya Anthony Anderson. Makala siyo ndefu wala fupi, lakini ina mwongozo mzuri kabisa. Jaribu kufuata uandikaji huo. Pia, epuka sana viungo vya kimakosa. Kwa kuandika jina la makala huku ndani yake umeweka alama ya KOMA (mfano: makazi, - badala ya makazi tupu!) Hii haisidii kuleta vioungo halisi. Basi tuendelee!--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:36, 14 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

Article requests[hariri chanzo]

Hi! Do you do article requests?

If so, would you mind making stubs in Swahili of the following?

Also, are you in the Nairobi area? If so, do you do photo requests? I would like to get photos of some buildings in and around JKIA.

Thanks, WhisperToMe (majadiliano) 20:58, 24 Mei 2011 (UTC)[jibu]

Signpost[hariri chanzo]

Hi, please check I got the caption right at the bottom. (User:Tony1) Tony1 (majadiliano) 03:46, 7 Mei 2012 (UTC)[jibu]

yap, you got it right, thanks Xelawafs (majadiliano) 09:32, 7 Mei 2012 (UTC)[jibu]