Kiilue : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiilue''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wailue. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiilue ime...' |
No edit summary |
||
Mstari 9: | Mstari 9: | ||
[[Jamii:Lugha za Nigeria]] |
[[Jamii:Lugha za Nigeria]] |
||
[[id:Kiilue]] |
|||
[[pms:Lenga Ilue]] |
[[pms:Lenga Ilue]] |
Pitio la 23:41, 5 Mei 2012
Kiilue ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wailue. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiilue imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiilue kiko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiilue kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |