Liturujia ya Kimungu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|[[Mozaiki ya mwaka 1150 hivi inayoonyesha watakatifu Basili Mkuu (kushoto) na [[Yohan...'
 
No edit summary
Mstari 18: Mstari 18:
[[File:Dues4Sept21 2009.jpg|thumb|Padri akisimama kwenye [[meza takatifu]] ([[altare]]).]]
[[File:Dues4Sept21 2009.jpg|thumb|Padri akisimama kwenye [[meza takatifu]] ([[altare]]).]]
[[File:Dues5Sept21 2009.jpg|thumb|Waamini wakijiandaa kupokea [[Ushirika mtakatifu]].]]
[[File:Dues5Sept21 2009.jpg|thumb|Waamini wakijiandaa kupokea [[Ushirika mtakatifu]].]]
[[File:Pokrov.jpg|thumb|Distributing Holy Communion to the faithful.]]
[[File:Pokrov.jpg|thumb|Ugawaji wa Ushirika mtakatifu kwa waamini.]]
[[File:Placing_Gospel_Book_onto_Antimension_at_end_of_Liturgy.jpeg|thumb|[[Askofu]] akifanya [[ishara ya msalaba]] kwa kitabu cha Injili juu ya kitambaa cha altare kiitwacho antimension.]]
[[File:Placing_Gospel_Book_onto_Antimension_at_end_of_Liturgy.jpeg|thumb|[[Askofu]] akifanya [[ishara ya msalaba]] kwa kitabu cha Injili juu ya kitambaa cha altare kiitwacho antimension.]]
[[File:Slovo4.jpg|thumb|Padri akiruhusu waamini kuondoka kwa msalaba wa [[baraka]].]]
[[File:Slovo4.jpg|thumb|Padri akiruhusu waamini kuondoka kwa msalaba wa [[baraka]].]]
Mstari 32: Mstari 32:
* [http://en.liturgy.ru/photo/nn/photo_n2.php Photos of Divine Liturgy] from Russia
* [http://en.liturgy.ru/photo/nn/photo_n2.php Photos of Divine Liturgy] from Russia
* [http://users.uoa.gr/~nektar/orthodoxy/prayers/service_litourgy_translation.htm The Divine Liturgy of St. John Chrysostomus of the Greek Eastern Orthodox Church] - In Hellenistic New Testament Greek (Koine) and Modern Demotic Greek

Spanish translations
* [https://sites.google.com/site/textosliturgicosortodoxos Textos litúrgicos ortodoxos] (Serbian Patriarchate)
'''[[Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki]]'''
'''[[Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki]]'''
* [http://sor.cua.edu/Liturgy/Anaphora/index.html The Divine Liturgy of the Syriac Orthodox Church]
* [http://sor.cua.edu/Liturgy/Anaphora/index.html The Divine Liturgy of the Syriac Orthodox Church]
Mstari 42: Mstari 40:
* [http://kidane-mehret.org/liturgy.html Ethiopian Divine Liturgy]
* [http://kidane-mehret.org/liturgy.html Ethiopian Divine Liturgy]
* [http://www.armeniapedia.org/index.php?title=Armenian_Church_Divine_Liturgy Armenian Divine]
* [http://www.armeniapedia.org/index.php?title=Armenian_Church_Divine_Liturgy Armenian Divine]
'''[[Kanisa Katoliki la Kimelkiti]]'''
Byzantine Catholic
* [http://www.melkite.org/Dliturgy.htm The Divine Liturgy of the Melkite Greek Catholic Church]
* [http://www.melkite.org/Dliturgy.htm The Divine Liturgy of the Melkite Greek Catholic Church]
'''[[Kanisa Katoliki la Armenia]]'''
Armenian Catholic
* [http://www.armeniancatholic.ru/en/library/liturgy.html The Beauty and Wisdom of the Armenian Divine Liturgy] (Armenian Catholic)
* [http://www.armeniancatholic.ru/en/library/liturgy.html The Beauty and Wisdom of the Armenian Divine Liturgy]
* [http://www.stvartanbookstore.com/index.asp?PageAction=VIEWPROD&ProdID=5373 "In Remembrance of the Lord]
Contemporary Commentary in English on the Armenian Liturgy (Badarak)]
* [http://www.stvartanbookstore.com/index.asp?PageAction=VIEWPROD&ProdID=5373 "In Remembrance of the Lord] Commentary
Liturgy (Badarak)] Text
*[http://www.arak29.am/badarak/index.php Arak29 Badarak (Armenian Divine Liturgy)]
*[http://www.arak29.am/badarak/index.php Arak29 Badarak (Armenian Divine Liturgy)]
* [http://www.armenianchurch.net/worship/badarak/badarak2a.html Armenian Badarak] Commentary
* [http://www.armenianchurch.net/worship/badarak/badarak2a.html Armenian Badarak] Commentary

Pitio la 11:46, 1 Mei 2012

Mozaiki ya mwaka 1150 hivi inayoonyesha watakatifu Basili Mkuu (kushoto) na Yohane Krisostomo, watunzi wa anafora mbili zinazotumika zaidi. Iko katika Cappella Palatina, Palermo (Italia).

Liturujia ya Kimungu ni adhimisho la ekaristi kwa jina linalotumiwa hasa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata madhehebu ya Kigiriki.

Ina sehemu kuu mbili: moja ambayo inaruhusu wakatekumeni kuhudhuria, ya pili ni kwa ajili ya waamini waliobatizwa tu.

Liturujia ya wakatekumeni

Inaleta hasa Neno la Mungu kutoka Biblia ya Kikristo

Padri akiingia patakatifu akishika kitabu cha Injili.
Somo la Injili.
Litania ya wakatekumeni.

Liturujia ya waamini

Ndiyo adhimisho la ekaristi yenyewe kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.

Padri akiingia patakatifu akibeba vipaji huku shemasi mdogo akishika chetezo.
Padri akisimama kwenye meza takatifu (altare).
Waamini wakijiandaa kupokea Ushirika mtakatifu.
Ugawaji wa Ushirika mtakatifu kwa waamini.
Askofu akifanya ishara ya msalaba kwa kitabu cha Injili juu ya kitambaa cha altare kiitwacho antimension.
Padri akiruhusu waamini kuondoka kwa msalaba wa baraka.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Makanisa ya Kiorthodoksi

Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki

Kanisa Katoliki la Kimelkiti

Kanisa Katoliki la Armenia