Bendera ya Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:پرچم کنیا
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: br:Banniel Kenya
Mstari 76: Mstari 76:
[[be-x-old:Сьцяг Кеніі]]
[[be-x-old:Сьцяг Кеніі]]
[[bpy:কেনিয়ার ফিরালহান]]
[[bpy:কেনিয়ার ফিরালহান]]
[[br:Banniel Kenya]]
[[bs:Zastava Kenije]]
[[bs:Zastava Kenije]]
[[ca:Bandera de Kenya]]
[[ca:Bandera de Kenya]]

Pitio la 10:01, 25 Aprili 2012


Flag of Kenya
}}
Use National Bendera and civil and state ensign National flag, civil and state ensign
Proportion 2:3
Design A white-fimbriated horizontal tricolour of black, red, and green charged with two crossed white spears behind a red, white, and black Maasai shield.
}}
Variant flag of Kenya
Use Naval ensign War ensign
Design A white field with the national flag in the canton and a large red anchor in the fly.

Bendera ya Kenya (English:Flag of Kenya) ilizinduliwa rasmi tarehe kumi na mbili Desemba, mwaka wa 1963.


Mfano

Bendera ya Kenya ina msingi katika bendera ya muungano wa kitaifa wa Kenya African . Rangi zinaashiria weusi wengi wenyeji , nyekundu ni damu iliyomwagwa wakati wa mapambano ya uhuru, na kijani kibichi ni mali asili; mikanda meupe yaliongezwa baadaye na yanasimamia amani. Ngao nyeusi, nyekundu, na nyeupe ya jadi ya Kimaasai na mikuki miwili yanaashiria ulinzi wa mambo yote yaliyotajwa hapo juu.


Buni

Rangi za bendera zimebuniwa na Hifadhi ya Taifa ya Kenya.

Mfuko Nyekundu Kijani kibichi
Rangi Rasmi za Uingereza Nyekundu ya Posta 0-006 0-010
Chanzo: Bendera ya Kenya iliyoko Get Kenya Online. Imeangaliwa tmwezi waAgosti 6 2006.
Chanzo: Maelezo ya Bendera iliyoko Kumbuku za Taifa. Imeangaliwa Februari 16 2006.


Karatasi ya Ujenzi
Karatasi ya Ujenzi




Historia

Bendera ya Kenya imejikita kwenye bendera nyeusi juu ya nyekundu juu ya kijani ya chama cha KANU, chama cha siasa kilichoongoza mapambano ya uhuru wa Kenya. Baada ya uhuru, mikanda meupe, inayoashiria amani na umoja, na ngao zikaongezwa.


Tazama pia


Viungo vya nje