23 Septemba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
+ sikusare
Mstari 1: Mstari 1:
{{Septemba}}
{{Septemba}}
'''23 Septemba''' kwa kawaida ama ni [[sikusare otomnia]] ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya [[sikusare]] hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na giza ya usiku kupungua.
'''23 Septemba''' kwa kawaida ama ni [[sikusare otomnia]] ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya [[sikusare]] hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na giza ya usiku kupungua. Mabadiliko haya yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.


== Matukio ==
== Matukio ==

Pitio la 22:47, 14 Aprili 2012

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

23 Septemba kwa kawaida ama ni sikusare otomnia ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya sikusare hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na giza ya usiku kupungua. Mabadiliko haya yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki