Sikusare kaskazi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sikusare machipuo''' ni moja ya sikusare mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya ikweta. Sikusare machi...'
 
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha [[usiku]] mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mchana ni mrefu kuliko usiku. Kuongezeka wa muda wa mchana kunasababisha kupanda kwa halijoto hivyo katika nchi zenye majira baridi mimea huanza kuotea majani mapya.

Sikusare ya machipuo inakadiriwa kuwa 21 Machi kwenye nusutufe ya kaskazini na 23 Septemba kwenye nusutufe ya kusini.
Sikusare ya machipuo inakadiriwa kuwa [[21 Machi]] kwenye nusutufe ya kaskazini na 23 Septemba kwenye nusutufe ya kusini.

[[jamii:Kalenda]]
[[jamii:Kalenda]]

Pitio la 14:38, 14 Aprili 2012

Sikusare machipuo ni moja ya sikusare mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya ikweta.

Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha usiku mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mchana ni mrefu kuliko usiku. Kuongezeka wa muda wa mchana kunasababisha kupanda kwa halijoto hivyo katika nchi zenye majira baridi mimea huanza kuotea majani mapya.

Sikusare ya machipuo inakadiriwa kuwa 21 Machi kwenye nusutufe ya kaskazini na 23 Septemba kwenye nusutufe ya kusini.