Hati ya Damasi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hati ya Damasi''' (au ''De explanatione fidei'') ilitolewa na Papa Damasus I mwaka 382 ([http://catho.org/9.php?d=bxk#a4j kwa Kilatini]). Kwa hati ...'
 
No edit summary
Mstari 8: Mstari 8:


Baadaye [[Mtaguso wa Firenze]] (1442) na [[Mtaguso wa Trento]] (1546) ilivitambua rasmi kuwa sehemu za Biblia kamili kwa Kanisa Katoliki.
Baadaye [[Mtaguso wa Firenze]] (1442) na [[Mtaguso wa Trento]] (1546) ilivitambua rasmi kuwa sehemu za Biblia kamili kwa Kanisa Katoliki.

Hati yenyewe kwa [[Kilatini]] inapatikana katika [http://catho.org/9.php?d=bxk#a4j].


[[Jamii:Mababu wa Kanisa]]
[[Jamii:Mababu wa Kanisa]]

Pitio la 09:11, 8 Aprili 2012

Hati ya Damasi (au De explanatione fidei) ilitolewa na Papa Damasus I mwaka 382 (kwa Kilatini).

Kwa hati hiyo alithibitisha orodha rasmi ya vitabu vya Biblia ya Kikristo katika Kanisa Katoliki.

Orodha hiyo ilipata nguvu Afrika Kaskazini kutokana na Agostino wa Hippo kuifanya ipitishwe na Mtaguso wa Hippo (393), Mtaguso wa Tatu wa Kartago (397) na Mtaguso wa Nne wa Kartago (419).

Wakati huohuo Papa Inosenti I aliituma kwa askofu Exuperius wa Toulouse (405).

Baadaye Mtaguso wa Firenze (1442) na Mtaguso wa Trento (1546) ilivitambua rasmi kuwa sehemu za Biblia kamili kwa Kanisa Katoliki.

Hati yenyewe kwa Kilatini inapatikana katika [1].