Telesphore Mkude : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fi:Telesphore Mkude
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Telesphore Mkude''' (amezaliwa [[30 Novemba]], [[1945]]) ni askofu [[Kanisa la Kikatoliki|Mkatoliki]] nchini [[Tanzania]]. Aliwekwa wakfu na Kardinali [[Laurean Rugambwa]] mwaka wa [[1988]]. Tangu mwaka wa [[1993]], ni askofu wa [[Jimbo Katoliki la Morogoro|Jimbo la Morogoro]].
'''Telesphore Mkude''' (amezaliwa Pinde, [[mkoa wa Morogoro]], tarehe [[30 Novemba]] [[1945]]) ni [[askofu]] [[Kanisa Katoliki|Mkatoliki]] nchini [[Tanzania]].
Alipata [[ipadri]] mwaka [[1972]].
Aliwekwa wakfu na Kardinali [[Laurean Rugambwa]] mwaka [[1988]] kwa ajili ya [[jimbo Katoliki la Tanga]].
Tangu mwaka [[1993]] ni askofu wa [[Jimbo Katoliki la Morogoro|Jimbo la Morogoro]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
Mstari 7: Mstari 13:


{{DEFAULTSORT:Mkude, Telesphore}}
{{DEFAULTSORT:Mkude, Telesphore}}

[[Jamii:Waliozaliwa 1945]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1945]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]

Pitio la 09:03, 8 Aprili 2012

Telesphore Mkude (amezaliwa Pinde, mkoa wa Morogoro, tarehe 30 Novemba 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Alipata ipadri mwaka 1972.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1988 kwa ajili ya jimbo Katoliki la Tanga.

Tangu mwaka 1993 ni askofu wa Jimbo la Morogoro.

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.