Athens : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imebadilisha: lez:Афинаяр
d Roboti: Imeondoa: map-bms:Kota Athena (deleted)
Mstari 115: Mstari 115:
[[lt:Atėnai]]
[[lt:Atėnai]]
[[lv:Atēnas]]
[[lv:Atēnas]]
[[map-bms:Kota Athena]]
[[mi:Ātene]]
[[mi:Ātene]]
[[mk:Атина]]
[[mk:Атина]]

Pitio la 07:56, 6 Aprili 2012

Majengo ya Akropoli iliyokuwa boma na mtaa wa mahekalu ya Athens ya Kale

Mji Athens (kigir. Αθήνα "Athina") ni mji mkuu wa Ugiriki (Uyunani) na mji mkubwa wa nchi hii. Athens ni kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye historia ndefu tangu miaka mielfu.

Jina limetokana na mungu wa kike "Athena" aliyeabudiwa kama mungu wa elimu na vita zamani za Ugiriki wa Kale. Siku hizi mji una wakazi milioni 3.

Historia

Katika karne kabla za Kristo Athens ilikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi Italia na Uturuki ya leo.

Athens ilikuwa maarufu kwa wataalamu wake hasa wanafalsafa kama Platon na Aristoteles. Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.

Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa Dola la Roma na baada ya 1453 chini ya Dola la Uturuki. Mji ukawa bila umuhimu wowote tena ukakonda. Wakati wa uhuru wa Ugiriki 1834 Athen ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu. Tangu 1834 imekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.

Michezo ya kwanza ya Olimpiki ya kisasa ilifanyika Athens mwaka 1896. Michezo ilirudi tena mwaka 2004.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Athens kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA