Richard Smalley : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: eu:Richard E. Smalley
Mstari 18: Mstari 18:
[[eo:Richard E. Smalley]]
[[eo:Richard E. Smalley]]
[[es:Richard Smalley]]
[[es:Richard Smalley]]
[[eu:Richard E. Smalley]]
[[fa:ریچارد اسملی]]
[[fa:ریچارد اسملی]]
[[fi:Richard Smalley]]
[[fi:Richard Smalley]]

Pitio la 20:40, 18 Machi 2012

Faili:Richard Smalley.jpg
Richard Smalley

Richard Errett Smalley (6 Juni, 194328 Oktoba, 2005) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amefahamika kwa kugundua na kuchunguza mfumo mpya wa kaboni. Mwaka wa 1996, pamoja na Robert Curl na Harold Kroto alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Smalley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.