Wakarmeli Peku : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '200px|thumb|Nembo ya shirika. '''Wakarmeli Peku''' (kwa Kilatini '''Ordo Fratrum Discalceatorum B. Mariae V. de Monte Carmelo''', kifupi '...'
 
d r2.5.4) (Roboti: Imeongeza es Imeondoa: hr, sc Imebadilisha: fr
Mstari 41: Mstari 41:
[[de:Unbeschuhte Karmeliten]]
[[de:Unbeschuhte Karmeliten]]
[[en:Discalced Carmelites]]
[[en:Discalced Carmelites]]
[[es:Orden de Carmelitas Descalzos]]
[[fa:کرملی‌های پابرهنه]]
[[fa:کرملی‌های پابرهنه]]
[[fr:Carmes déchaussés]]
[[fr:Ordre des Carmes déchaux]]
[[hr:Karmelićani]]
[[it:Ordine dei Carmelitani Scalzi]]
[[it:Ordine dei Carmelitani Scalzi]]
[[no:De uskodde karmelittene]]
[[no:De uskodde karmelittene]]
Mstari 50: Mstari 50:
[[ro:Carmeliți desculți]]
[[ro:Carmeliți desculți]]
[[ru:Орден босых кармелитов]]
[[ru:Орден босых кармелитов]]
[[sc:Carmelitanos]]
[[sr:Bosonoge karmelićanke]]
[[sr:Bosonoge karmelićanke]]
[[sv:Oskodda karmeliter]]
[[sv:Oskodda karmeliter]]

Pitio la 13:42, 16 Machi 2012

Nembo ya shirika.

Wakarmeli Peku (kwa Kilatini Ordo Fratrum Discalceatorum B. Mariae V. de Monte Carmelo, kifupi O.C.D.) ni watawa wa Kanisa Katoliki wanaofuata urekebisho wa shirika la Wakarmeli ulioanzishwa na Teresa wa Yesu katika karne ya 16 huko Hispania. Upande wa wanaume alisaidiwa na Yohane wa Msalaba.

Mbali ya waanzilishi hao wawili, shirika lilizaa mwalimu wa Kanisa mwingine, Teresa wa Mtoto Yesu katika karne ya 19.

Kwa jumla hao watatu wanatazamwa kuwa viongozi bora kuhusu kuzama katika sala na maisha ya kiroho kwa jumla.

Pia shirika lilizaa watakatifu na wenye heri wengi.

Mwishoni mwa mwaka 2005 shirika lilikuwa na nyumba 572 zenye watawa 4067, (kati yao mapadri 2655).[1]

Picha

Tanbihi

  1. Annuario Pontificio per l'anno 2007, Città del Vaticano, 2007, p. 1467

Viungo vya nje