Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Tansanit nature.jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Tansanit nature.jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Tanzanite cut.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
[[Image:Tanzanite cut.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
'''Tanzanaiti''' ni kito chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya Meralani karibu na mji wa [[Arusha]]. Kito inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milli[[gramu]] 200).

Pitio la 20:00, 9 Septemba 2007

Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia
Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa

Tanzanaiti ni kito chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya Tanzania.

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka 1967 katika milima ya Meralani karibu na mji wa Arusha. Kito inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milligramu 200).

Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.