Singapuri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: or:ସିଙ୍ଗାପୁର
d r2.7.1) (roboti Badiliko: gd:Singeapòr
Mstari 132: Mstari 132:
[[ga:Singeapór]]
[[ga:Singeapór]]
[[gan:新加坡]]
[[gan:新加坡]]
[[gd:Siongapòr]]
[[gd:Singeapòr]]
[[gl:Singapur - 新加坡]]
[[gl:Singapur - 新加坡]]
[[gu:સિંગાપુર]]
[[gu:સિંગાપુર]]

Pitio la 15:17, 29 Februari 2012

Singapuri
Ramani ya Singapuri

Singapuri ni nchi ndogo katika Asia ya Kusini-Mashariki.

Jiografia

Eneo lake ni kisiwa kwenye ncha ya kusini kabisa ya Rasi ya Malay pamoja na visiwa vidogo vya kando. Kuna mji mmoja pekee ni jiji la Singapuri lilipopo kisiwani hivyo huhesabiwa pia kati ya dola-miji. Kisiwa kimetenganishwa na bara kwa mfereji mwembamba wa Johor.

Historia

Kisiwa kiliwahi kuwa na makazi mbalimbali katika historia. Mji wa kisasa ulianzishwa mwaka 1819 na Waingereza kama kituo cha biashara ikawa bandari muhimu ya eneo. Uingereza uliipa uhuru kama sehemu ya shirikisho la Malaysia. Lakini matatizo ya kuelewana yalionekana haraka kati ya wanasiasa Wamalay wa bara na wenzao Wachina wa kisiwani mwishowe Singapuri ikafukuzwa katika shirikisho ikawa nchi ya kujitegemea 9 Agosti 1965. Mwanasiasa Lee Kuan Yew alikuwa waziri mkuu wa kwanza akaendelea na cheo hiki hadi 1990 akaongoza Singapuri kuwa kati ya mataifa matajiri ya Asia.

Wakazi

Kati ya wakazi milioni nne na nusu walio wengi (kama tatu robo) ni wa asili ya China. Mababu walihamia hapa wakitafuta kazi bandarini. Wengine ni wakazi asilia Wamalay na Watamil waliotoka Uhindi ya Kusini.

Uchumi

Uchumi wa Singapuri ni hasa biahara, hasa benki pamoja na viwanda. Imekuwa kitovu cha uchumi na biashara kwa Asia ya Kusini.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Singapuri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA