Kiboko (Benin) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d +def
→‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
Mstari 2: Mstari 2:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/bqc lugha ya Kiboko kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/bqc.html ramani ya Kiboko]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=bqc
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=bqc



Pitio la 17:39, 22 Februari 2012

Kiboko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Nigeria inayozungumzwa na Waboko. Kisichanganywe na lugha ya Kiboko cha Kongo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiboko nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 70,000. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboko kiko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboko (Benin) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.