Kimusgu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Kimusgu (lugha) umesogezwa hapa Kimusgu: mabano siyo lazima
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: et:Musgu keel, fr:Mousgoum (langue)
Mstari 13: Mstari 13:


[[en:Musgu language]]
[[en:Musgu language]]
[[et:Musgu keel]]
[[fr:Mousgoum (langue)]]

Pitio la 21:56, 20 Februari 2012

Kimusgu ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun na Chad inayozungumzwa na Wamusgu. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimusgu imehesabiwa kuwa watu 61,500. Pia kuna wasemaji 24,400 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimusgu kiko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimusgu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.