Rhine Kaskazini-Westfalia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: rm:Rain dal Nord-Vestfalia
d r2.7.1) (roboti Badiliko: zh:北莱茵-威斯特法伦
Mstari 169: Mstari 169:
[[war:Nordrhein-Westfalen]]
[[war:Nordrhein-Westfalen]]
[[yo:North Rhine-Westphalia]]
[[yo:North Rhine-Westphalia]]
[[zh:北莱茵-威斯特法伦]]
[[zh:北莱茵威斯特法伦]]
[[zh-min-nan:Nordrhein-Westfalen]]
[[zh-min-nan:Nordrhein-Westfalen]]

Pitio la 04:46, 9 Februari 2012

Ramani ya jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia.
bendera ya Rhine Kaskazini-Westfalia

Rhine Kaskazini-Westfalia (Kijerumani: Nordrhein-Westfalen, NRW) ni moja kati ya majimbo makuu ya nchini Ujerumani. Jimbo hili ndilo linaongoza kwa kuwa na idadi ya watu wengi katika Ujerumani. Lipo katika sehemu magharibi mwa Ujerumani na idadi ya wakazi ni takriban 18,033,000 waishio katika Jimbo hili. Mji wake mkuu ni Düsseldorf.

Wilaya za Rhine Kaskazini-Westfalia

Rhine Kaskazini - Westfalia imegawanyika katika sehemu tano: mikoa ya kiserikani:

Historia ya Rhine Kaskazini-Westfalia

Jimbo jinsi lilivyo lilianzishwa 1946/47 na Waingereza walipotawala sehemu ya Ujerumani baada ya vita kuu ya pili ya dunia. Serikali ya kijeshi ya Kiingereza kwa Ujerumani iliunganisha 1946 mikoa miwili ya Prussia kuwa jimbo jipya baada ya kufutwa kwa Prussia yenyewe iliyowahi kuwa jimbo kubwa kabisa katika Ujerumani. Mikoa hii ya Kiprussia ya awali ilikuwa Westfalia na sehemu ya kaskazini ya mkoa wa Rhine. Washindi wa vita kuu waliwahi kugawa mkoa wa Rhine na kaskazini iliwekwa chini ya Uingereza lakini kusini chini ya utawala wa Ufaransa. Maungano ya Westfalia na Rhine-Kaskazini yalipanushwa 1947 kwa kuingiza mle jimbo la awali la Lippe. Jimbo jipya kilichokuwa kiumbe cha Waingereza kilikuwa kati ya majimbo 10 yaliyoanzisha 1949 Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.

Miji ya Rhine Kaskazini-Westfalia

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhine Kaskazini-Westfalia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ujerumani
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)