Miguel de Cervantes : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: sq:Miguel de Cervantes
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: sc:Miguel de Cervantes
Mstari 111: Mstari 111:
[[rue:Міґель де Сервантес]]
[[rue:Міґель де Сервантес]]
[[sah:Мигел де Сервантес]]
[[sah:Мигел де Сервантес]]
[[sc:Miguel de Cervantes]]
[[scn:Miguel de Cervantes]]
[[scn:Miguel de Cervantes]]
[[sh:Miguel de Cervantes]]
[[sh:Miguel de Cervantes]]

Pitio la 20:31, 4 Februari 2012

Uchoraji wa Cervantes

Miguel de Cervantes Saavedra (29 Septemba, 154723 Aprili, 1616) alikuwa mwandishi Mhispania anayesifiwa kama mwandishi mkuwba kabisa wa nchi yake. Mara nyingi riwaya yake Don Quishote inahesabiwa kati ya vitabu muhimu zaidi vya fasihi ya Ulaya.

Cervantes alizaliwa kama mtoto wa nne kati ya sana wa mganga. Hakuna habari kamili juu ya maisha yake kama kijana. Alipokuwa na miaka 23 alijiunga na jeshi la wanamaji wa Hispania akashiriki kwenye mapigano ya Lepanto dhidi ya milki ya Osmani alipojeruhiwa na kupotea mkono wa kulia.

1575 alikamatwa na maharamia Waalgeria akawa mfungwa hadi kununuliwa na wamonaki Wakristo waliomrudisha nyumbani. Tangu 1584 alianza kuandika lakini mwanzoni bila mafanikio ya kipesa. Alipata kazi kama mkusanyaji kodi lakini alishindwa kuonyesha hesabu safi ya mikusanyo yake akatupwa jela. Hapo alianza kazi ya kuandika riwaya yake ya "El ingenioso Hidalgo Don Quijote de la Mancha" iliyotolewa waka 1605 na sehemu ya pili ikafuata 1615. Kitabu hiki kilipendwa na kutafsiriwa katika lugha mbalimbali za Ulaya.

Hata hivyo alikufa mtu maskini na sifa zake zilikua baada ya kifo chake tu.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miguel de Cervantes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA