Robert Robinson : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:رابرت رابینسون
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: gd:Sir Robert Robinson
Mstari 21: Mstari 21:
[[fi:Robert Robinson]]
[[fi:Robert Robinson]]
[[fr:Robert Robinson]]
[[fr:Robert Robinson]]
[[gd:Sir Robert Robinson]]
[[gl:Robert Robinson]]
[[gl:Robert Robinson]]
[[id:Robert Robinson (ilmuwan)]]
[[id:Robert Robinson (ilmuwan)]]

Pitio la 11:36, 4 Februari 2012

Robert Robinson (13 Septemba, 18868 Februari, 1975) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza misombo ya kikaboni, kwa mfano alkaloidi. Mwaka wa 1939 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1947 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Robinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.