Elki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: kl:Tuttorpak
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: vep:Hirb’
Mstari 105: Mstari 105:
[[ug:قانداغاي]]
[[ug:قانداغاي]]
[[uk:Лось]]
[[uk:Лось]]
[[vep:Hirb’]]
[[vi:Nai sừng tấm châu Âu]]
[[vi:Nai sừng tấm châu Âu]]
[[yi:לאס]]
[[yi:לאס]]

Pitio la 07:13, 4 Februari 2012

Elki
Elki (Alces alces)
Elki (Alces alces)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Artiodactyla (Mamalia wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili)
Familia: Cervidae (Wanyama walio na mnasaba na kulungu)
Nusufamilia: Capreolinae (Wanyama wanaofanana na kulungu wa Dunia Mpya)
Jenasi: Alces
J.E. Gray, 1821
Spishi: A. alces
Linnaeus, 1758

Elki (kutoka Kiing.: Elk; Kisayansi: Alces alces) ni mnyama wa Nusudunia ya Kaskazini kama kongoni mkubwa mwenye kichwa kirefu wa familia Cervidae. Dume wa spishi hii wana pembe kubwa.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elki kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.