Asiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: et:Asiitilased
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ar:أسيتي
Mstari 25: Mstari 25:
[[Jamii:Kijogoo-shamba na jamaa]]
[[Jamii:Kijogoo-shamba na jamaa]]


[[ar:أسيتي]]
[[br:Philepittidae]]
[[br:Philepittidae]]
[[cs:Pitovcovití]]
[[cs:Pitovcovití]]

Pitio la 11:36, 1 Februari 2012

Fodi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Eurylaimoidea (Ndege kama vijogoo-shamba)
Familia: Philepittidae (Ndege walio na mnasaba na fodi)
Jenasi: Neodrepanis Sharpe, 1875

Philepitta Saint-Hilaire, 1838

Fodi ni ndege wadogo wa familia Philepittidae. Wanatokea misitu ya Madagaska. Manyoya ya madume ni meusi na/au buluu na spishi mbili zina tumbo njano. Wana ngozi tupu kuzunguka macho yenye rangi ya buluu au majani. Majike wana rangi ya kahawa au majivu. Spishi za Neodrepanis zina domo lililopindika kama lile la chozi. Fodi wana mkia mfupi na ulimi uliogawanyika sehemu mbili. Hula matunda hasa lakini mbochi pia na pengine wadudu. Tago lao limefumika kwa manyasi, vitawi na nyuzinyuzi na lina umbo wa parachichi. Jike huyataga mayai 2-3.

Spishi