Uswidi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (roboti Nyongeza: roa-rup:Suidia
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: roa-tara:Svezzie
Mstari 375: Mstari 375:
[[ro:Suedia]]
[[ro:Suedia]]
[[roa-rup:Suidia]]
[[roa-rup:Suidia]]
[[roa-tara:Svezzie]]
[[ru:Швеция]]
[[ru:Швеция]]
[[rue:Швеція]]
[[rue:Швеція]]

Pitio la 14:41, 29 Januari 2012

Uswidi


Uswidi (au: Sweden; Swideni; Kiswidi: "Sverige") ni nchi ya Skandinavia katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Ufini (Finland) na Norway. Ina pwani ndefu na bahari ya Baltiki. Kuna daraja ya kuvukia mlango wa bahari ya Oresund ya kuunganisha Uswidi na Denmark. Mji mkuu ni Stockholm.

Uswidi ni ufalme wa kikatiba yaani Mkuu wa Dola ni mfalme Carl XVI Gustaf. Huyu mfalme anapaswa kufuata sheria ya katiba ya nchi. Utawala uko mkononi wa serikali iliyochaguliwa kidemokrasia.

Uswidi ni nchi kubwa yenye wakazi wachache ni milioni 9 pekee. Kuna misitu mikubwa sana na maziwa mengi. Katika karne ya 20 Uswidi imefaulu vizuri kujenga uchumi iliondoka katika umaskini na kuwa moja kati ya nchi tajiri za dunia.

Nchi ilijiunga na Umoja wa Ulaya mwaka 1995 lakini haikukubali pesa ya Euro ikiendelea na Krona ya Uswidi.

Nchi imegawiwa katika mikoa mitatu: Norrland katika Kaskazini, Svealand katikati na Götaland katika kusini

Hali ya hewa ya sehemu kubwa ya Uswidi si baridi kutokana na athira ya mkondo wa Ghuba. Kuna tofauti kati ya urefu wa mchana katika miezi ya Mei hadi Julai na giza wakati wa Disemba. Tarehe Juni 21 ni siku ndefu hakuna giza kabisa na usiku wake Waswidi hufanya sherehe kubwa ya "midsommar" ya ngoma na dansi kote nchini.

Picha za Uswidi

Wilaya

Län Herufi Mji mkuu Eneo Ramani
Blekinge län K Karlskrona 2.947 km²
Dalarnas län W Falun 28.196 km²
Gotlands län I Visby 3.151 km²
Gävleborgs län X Gävle 18.200 km²
Hallands län N Halmstad 5.462 km²
Jämtlands län Z Östersund 49.343 km²
Jönköpings län F Jönköping 10.495 km²
Kalmar län H Kalmar 11.219 km²
Kronobergs län G Växjö 8.467 km²
Norrbottens län BD Luleå 98.249 km²
Skåne län M Malmö 11.035 km²
Stockholms län AB Stockholm 6.519 km²
Södermanlands län D Nyköping 6.103 km²
Uppsala län C Uppsala 8.208 km²
Värmlands län S Karlstad 17.591 km²
Västerbottens län AC Umeå 55.190 km²
Västernorrlands län Y Härnösand 21.685 km²
Västmanlands län U Västerås 5.145 km²
Västra Götalands län O Göteborg 23.956 km²
Örebro län T Örebro 8.546 km²
Östergötlands län E Linköping 10.645 km²
Jumla 410.977 km²

Tazama pia

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uswidi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA ak:Sweden