Seminari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Seminari''' ni muundo wa malezi unaotoa mafunzo ya dini, hususan Ukristo, yakiwa pengine pamoja na elimu dunia. '''Seminari kuu''', au '''vyuo vya ...'
 
d r2.7.2+) (roboti Badiliko: ko:신학교
Mstari 21: Mstari 21:
[[de:Katholisches Priesterseminar]]
[[de:Katholisches Priesterseminar]]
[[en:Seminary]]
[[en:Seminary]]
[[es:Seminario]]
[[eo:Seminario]]
[[eo:Seminario]]
[[es:Seminario]]
[[fr:Séminaire (catholique)]]
[[fr:Séminaire (catholique)]]
[[fy:Seminarium]]
[[fy:Seminarium]]
[[he:סמינר לכמרים]]
[[ko:신학대학교]]
[[io:Seminario]]
[[id:Seminari]]
[[id:Seminari]]
[[io:Seminario]]
[[it:Seminario]]
[[it:Seminario]]
[[ja:神学校]]
[[he:סמינר לכמרים]]
[[ko:신학교]]
[[la:Seminarium]]
[[la:Seminarium]]
[[nl:Seminarie]]
[[nl:Seminarie]]
[[ja:神学校]]
[[no:Seminar (kirkelig)]]
[[no:Seminar (kirkelig)]]
[[pl:Seminarium duchowne]]
[[pl:Seminarium duchowne]]

Pitio la 16:59, 23 Januari 2012

Seminari ni muundo wa malezi unaotoa mafunzo ya dini, hususan Ukristo, yakiwa pengine pamoja na elimu dunia.

Seminari kuu, au vyuo vya teolojia, ni muundo wa malezi ya juu kwa watu wanaolenga upadri au huduma nyingine ya uongozi katika Kanisa.

Tofauti na hiyo, seminari ndogo inalea vijana kuanzia baadhi ya madarasa ya shule ya msingi hadi vidato vya sekondari.

Neno linatokana na Kilatini: seminarium ina maana ya kitalu, mfano uliotumiwa na Mtaguso wa Trento katika hati Cum adolescentium aetas ambayo ilianzisha seminara za kwanza za kisasa.[1]

Baada ya muundo huo kuenea katika Kanisa Katoliki, hata madhehebu mengine na hatimaye dini nyingine vimeanza kutumia mbinu hiyo.

Marejeo

  1. XXIII Session, Council of Trent, ch. XVIII. Retrieved from J. Waterworth, ed. (1848). The Canons and Decrees of the Sacred and Oecumenical Council of Trent. London: Dolman. pp. 170–92. Retrieved June 16, 2009.