Gujarat : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Badiliko: sa:गुजरातम्; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:India Gujarat locator map.svg|thumb|right|250px|Gujarat kwenye ramani ya India]]
[[Picha:Gujarat in India (disputed hatched).svg|thumb|right|250px|Gujarat kwenye ramani ya India]]
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat]]
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat]]
[[Picha:Gujarat locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Gujarat]]
[[Picha:Gujarat locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Gujarat]]

Pitio la 14:46, 20 Januari 2012

Gujarat kwenye ramani ya India
Ramani ya Gujarat
Ramani ya Gujarat

Gujarat ni jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho la Uhindi. Mji mkuu ni Gandhinagar ambayo ni mji mpya uliopewa jina lake kwa kwa heshima ya Mahatma Gandhi alyiezaliwa Gujarat.

Gujarat ina eneo la 196,024 km² zinazokaliwa na wakazi milioni 50. Lugha rasmi ni Kigujarati inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi. Watu wengi ni Wahindu (89%), kuna pia Waislamu (9%) na Wajain (1%).

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gujarat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.