Muziki wa country : Tofauti kati ya masahihisho
Xqbot (majadiliano | michango) d r2.7.2) (roboti Badiliko: si:පසල් සංගීතය |
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: be:Кантры |
||
Mstari 19: | Mstari 19: | ||
[[ar:موسيقى الريف]] |
[[ar:موسيقى الريف]] |
||
[[be:Кантры]] |
|||
[[bg:Кънтри]] |
[[bg:Кънтри]] |
||
[[bs:Country]] |
[[bs:Country]] |
Pitio la 05:33, 20 Januari 2012
Muziki wa country (pia huitwa Country & Western) ni aina ya muziki ambayo ilikuwa ikifurahiwa sana nchini Marekani kwa miaka mingi. Miongoni mwa wanamuziki maarufu wa muziki huu ni pamoja na Johnny Cash, Patsy Cline, the Judds, Dolly Parton, Glen Campbell, George Jones na Tammy Wynette, Kenny Rogers, Loretta Lynn, Randy Travis, Tanya Tucker, Willie Nelson, Reba McEntire, Garth Brooks na Toby Keith.
Muziki huu pia una wasikilizaji huko nchini Kanada, Uingereza, na sehemu zingine za ulimwenguni. Umaarufu wa muziki wa country huja na kupotea kwa miaka mingi sasa. Kuna kipindi hutokea katika baadhi ya filamu mpya (kama Midnight Cowboy au Urban Cowboy), wamepiga kibao (kama "She Believes In Me" cha Kenny Rogers), au waimbaji mwimbaji mpya (kama Randy Travis wa miaka ya 1980) alianza ladha kadhaa.
Historia
Viungo vya Nje
- Roughstock - country music resource; also has a history of the genre
- CMT (Country Music Television)
- Country Music Hall of Fame and Museum
- The Country Music Association (America)
- Country Weekly magazine
- Grand Ole Opry website
- Countryfied Soul
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa country kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |