Jeshi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Ona pia: ainisha {{mbegu}} using AWB
sahihisho dogo
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jeshi''' ni jumla ya watu wanaopewa mamlaka ya kutumia nguvu ya silaha kutetea nchi kwa niaba ya dola au kutekeleza maagizo ya serikali dhidi ya maadui wa nje kwa nguvu ya silaha.
'''Jeshi''' ni jumla ya watu wanaopewa mamlaka ya kutumia nguvu ya silaha kutetea nchi kwa niaba ya dola au kutekeleza maagizo ya serikali dhidi ya maadui wa nje kwa nguvu ya silaha.


Neno latumika hasa kwa kutaja [[jeshi la ardhi]], [[jeshi la majini]] (au ''Jeshi la wanamaji'') na [[jeshi la anga]].
Neno latumika hasa kwa kutaja [[jeshi la ardhi]], [[jeshi la wanamaji]] na [[jeshi la anga]].


==Kazi ya jeshi==
==Kazi ya jeshi==

Pitio la 21:16, 18 Januari 2012

Jeshi ni jumla ya watu wanaopewa mamlaka ya kutumia nguvu ya silaha kutetea nchi kwa niaba ya dola au kutekeleza maagizo ya serikali dhidi ya maadui wa nje kwa nguvu ya silaha.

Neno latumika hasa kwa kutaja jeshi la ardhi, jeshi la wanamaji na jeshi la anga.

Kazi ya jeshi

Kazi ya jeshi ni

  • kulinda nchi dhidi ya maadui wa nje
  • kutetea nchi dhidi ya mashambulizi kutoka nje au
  • pia kushambulia nchi nyingine kama hatua hii imeamriwa na serikali halali.

Kusudi hili shidi ya hatari na nje ni tofauti kuu na kazi ya polisi ambayo ni mkono mwingine wa serikali ya taifa mwenye silaha. hata hivyo kuna nchi ambako tofauti kati ya jeshi na polisi si wazi vile hasa kuna nchi nyingi ambako jeshi limepewa wajibu wa ndani ya taifa au ambako wanajeshi walichukua mamlaka mkononi mwao kwa nguvu ya silaha zao.

Katika nchi mbalimbali kuna vikosi vinavyotekeleza shughuli ndani ya taifa lakini vina silaha sawa na sehemu za jeshi na wakati mwingine vinahesabiwa kama sehemu ya jeshi. Kwa mfano vikosi vinavyolingana na FFU ya Tanzania vinaitwa gendarmerie huko Ufaransa na nchi nyingi za Afrika Magharibi au carabinieri huko Italia na kule vinahesabiwa kama mkono wa jeshi ingawa kazi yao ni ya ndani ya nchi.

Hali ya jeshi vitani husimamiwa na sheria ya kimataifa ya vita jinsi ilivyoundwa katika mikataba mbalimbali ya kimataifa. Sheria hii inalenga kulinda watu raia wakati wa vita na pia haki za wanajeshi wakikamatwa na adui. Sheria inadai ya kwamba wanajeshi wote wanahitaji

  • kuwa na sare rasmi inayoonekana na kuwatofautisha na watu raia
  • kuwa chini ya mamlaka rasmi inayoeleweka na kuwajibika kwa serikali yao
  • kubeba silaha zao wazi
  • kuitikia masharti ya sheria ya kimataifa

Wanajeshi wanafuata utaratibu huu wanalindwa na sheria inayokataza pia watu raia kubeba na kutumia silaha na kushiriki katika mapigano. Katika vita nyingi sheria ilipuuzwa lakini kuna mifano kadhaa katika karne ya 20 ambako jinai za vitani zilifuatiliwa kwa mfano kwenye Kesi za Nuremberg kuhusu jinai za vitani upande wa Ujerumani na kesi zilizofikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai tangu mwaka 2000.

Jeshi la ardhi

Jeshi la ardhi lina kituo ama kambi ambayo kambi hii yaweza kulinda kundi ya Jeshi, divisheni ama umma wajeshi. Kukitokea vita, Jeshi huwa wakipeleka divisheni na kundi za kijeshi kwa vipimo kulingana na vita na mbinu za kusukuma ama kushinda adui kwa vita. Na pia ratili ya vita ikiwapendukia, Jeshi hupeleka wanajeshi pulikiza ili kusukuma adui kabisa ama kumshinda adui.

Jeshi la taifa

Jeshi la Taifa ni jeshi ambalo lachukua ubinzani kwa vita kwa ardhi, kwa mfano Jeshi ya Uganda ama Jeshi ya Wafaransa Armée de Terre).

Shurutisho nyingi za jeshi hutofautishana kati ya Jeshi la Ardhi, Jeshi la Anga na Jeshi la Majini, hasa kugawa jeshi kwa matawi tatu. Kwa historia, Jeshi la anga lilikuwa pamoja na Jeshi la ardhi, hasa kwa historia ya Uchina ama Jeshi ya ukombozi ya umma wa Uchina ilichanganya (jeshi la ardhi, jeshi la majini, jeshi la anga, divisheni za makombora na usayari) kwa tawi moja.

Majeshi ya kisasa yaitwa pia huduma, ama askari watawala). Hii inaweza kuhusu pia matawi ya Vita: Jeshi kwa miguu, vifaru, makombora, na mhandisi wa jeshi, na pia Wasafirishaji wa matawi kama: mawasiliano, watambuzi, daktari, wapeleka vifaa, na Jeshi la ndege (tofauti na jeshi la anga).

Shurutisho la jeshi

Jeshi laweza kuwa kubwa kama chama, chama cha Jeshi (Shurutisho) ambayo ina kundi nyingi zaidi za askari. Jeshi tofauti hujigawa kulingana na utamaduni wao — hasa Marekani (Jeshi la kwanza la Marekani). Kwa Jeshi la Uingereza Jeshi kwa shurutisho ni "Jeshi la kwanza", na Marekani ni "divisheni ya kwanza".

(Jeshi Kikundi ama Jeshi kinara) ni shurutisho kubwa zaidi kulingana na umma, utatuzi na ushirikana.

Sovieti Jeshi la Urusi, lilikuwa limegawanywa kwa kundi za askari ambazo zilikuwa chini ya Jeshi shurutisho vitani. Lakini wakati wa amani kundi hizi zilikuwa chini ya tarafa ya Jeshi.

Ona pia