Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
52,013
edits
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hormozgan''' (kaj هرمزگان) ni moja kati ya mikoa 31 ya Uajemi. Makao makuu yako mjini Bandar Abbas. Mkoa huwa na wakazi 1,403,674 ...') |
No edit summary |
||
[[Picha:Hormozgan in Iran.svg|thumb|250px|Mahali pa mkoa wa Hormozgan katika Uajemi]]
'''Hormozgan''' ([[kaj]] هرمزگان) ni moja kati ya mikoa 31 ya [[Uajemi]]. Makao makuu yako mjini [[Bandar Abbas]]. Jina la mkoa hutokana na [[kisiwa cha Hormuz]].
Mkoa huwa na wakazi 1,403,674 (sensa 2006). Eneo lake ni kilomita za mraba 70,669.
==Jiografia==
Hormozgan iko katika kusini ya Uajemi kwenye pwani la [[ghuba la Uajemi]] hasa sehemu ya [[mlango wa Hormuz]]. Ng'ambo la mlango wa Hormuz yako maeneo ya [[Oman]] na [[Maungano ya Falme
Mikoa jirani ni [[Mkoa wa Bushehr|Bushehr]], [[Fars]], [[Mkoa wa Kerman|Kerman]] na [[Sistan na Baluchistan]].
Eneo la mkoa huwa na sehemu mbili ambazo ni kanda nyembamba ya pwani pamoja na visiwa kwa upande mmoja na milima yabisi kwa upande mwingine. Pwani ni joto na [[unyevu anga]] ni juu. Waajemi wengi kutoka bara wanakuja hapa kwa likizo wakati wa baridi.
==Visiwa==
Visiwa 14 katika [[Ghuba la Uajemi]] ni sehemu ya mkoa huu:
* [[Qeshm]]
* [[Kish]]
* [[Tunb]]
* [[Abu Musa]]
* [[Lavan]]
* [[Hengam]]
* [[Hormuz]]
* [[Sirri]]
* [[Forur]]
* [[Forurgan]]
* [[Shotur]]
* [[Lark (kisiwa)|Lark]]
* [[Hendurabi]]
[[Category:Mikoa ya Uajemi]]
[[ar:هرمزكان (محافظة)]]
[[arz:هرمزجان (محافظه)]]
[[az:Hörmüzgan (ostan)]]
[[be-x-old:Хармазган]]
[[bg:Хормозган]]
[[bn:হোর্মোজগন প্রদেশ]]
[[ceb:Hormozgān]]
[[ckb:پارێزگای ھورمزگان]]
[[cs:Hormozgán]]
[[da:Hormozgan (provins)]]
[[de:Hormozgan]]
[[en:Hormozgan Province]]
[[eo:Provinco Hormozgan]]
[[eu:Hormozgan]]
[[fa:استان هرمزگان]]
[[fi:Hormozgān]]
[[fr:Hormozgan]]
[[he:מחוז הרמזגאן]]
[[hi:होर्मोज़्गान प्रांत]]
[[hr:Hormuzgan]]
[[hu:Hormozgán tartomány]]
[[id:Provinsi Hormozgān]]
[[it:Hormozgan]]
[[ja:ホルモズガーン州]]
[[ka:ჰორმაზაგანი (ოსტანი)]]
[[ko:호르모즈간 주]]
[[ku:Hormozgan (parêzgeh)]]
[[lt:Hormozgano provincija]]
[[lv:Hormozgāna]]
[[mk:Хормозган]]
[[ms:Hormozgan]]
[[nl:Hormozgan]]
[[no:Hormozgan]]
[[os:Хормозган]]
[[pl:Hormozgan]]
[[pnb:ہرموزگان]]
[[pt:Hormozgan]]
[[ru:Хормозган]]
[[sco:Hormozgan Province]]
[[sr:Покрајина Хормозган]]
[[sv:Hormozgan]]
[[tg:Устони Ҳурмузгон]]
[[tr:Hürmüzgan Eyaleti]]
[[vi:Hormozgān (tỉnh)]]
[[war:Hormozgān (lalawigan)]]
[[zh:霍爾木茲甘省]]
|