Kiluba-Kasai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
→‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d Kiluba-Kasai (lugha) umesogezwa hapa Kiluba-Kasai: mabano siyo lazima
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:01, 13 Januari 2012

Kiluba-Kasai ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waluba-Kasai. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiluba-Kasai imehesabiwa kuwa watu milioni sita na laki tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluba-Kasai kiko katika kundi la L30.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluba-Kasai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.