Ufalme wa Bizanti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: tr:Doğu Roma İmparatorluğu
Mstari 45: Mstari 45:
[[ca:Imperi Bizantí]]
[[ca:Imperi Bizantí]]
[[ceb:Sidlakang Imperyong Romano]]
[[ceb:Sidlakang Imperyong Romano]]
[[ckb:ئیمپڕاتۆرییەتی بێزەنتی]]
[[ckb:ئیمپڕاتۆڕی بیزەنتی]]
[[crh:Bizans İmperiyası]]
[[crh:Bizans İmperiyası]]
[[cs:Byzantská říše]]
[[cs:Byzantská říše]]

Pitio la 20:10, 11 Januari 2012

Mabadiliko ya eneo la Bizanti au Roma ya Mashariki

Ufalme wa Byzantini (Kigiriki: Βυζαντινή Αυτοκρατορία) ni neno linalotumika kutaja Dola la Roma lilivyoendelea katika mashariki ya eneo la Mediteranea katika Zama za Kati, ukiwa na makao yake makuu kwenye mji wa Konstantinopoli ulioitwa pia Bizanti na kutumia lugha ya Kigiriki.

Katika baadhi ya maana, hasa kuhususiana na wakati baada ya kuanguka kwa Dola la Roma katika magharibi na mjini Roma penyewe hujulikana pia kama Dola la Roma Mashariki.

Wabizanti wenyewe walijiona ni bado Dola la Roma wakiendelea tu. Watawala walitumia cheo cha "Kaisari" kama awali.

Hata hivyo, kwa wakati mwingi wa historia yake, ulifahamika na wenzao wa Ulaya magharibi kama “Ufalme wa Wagiriki” au “Ufalme wa Konstatinopoli” au "Rhômania".

Lakini majirani wa mashariki kama Waarabu waliendela kuwaita "Waroma" (kar. روم rum).

Bizanti ilipata mapigo mawili makubwa katika historia yake:

Shambulio hili lilisababisha nguvu za ufalme kufifia kabisa. Hata baada ya kurudi Konstantinopoli watawala wa Bizanti walikosa nguvu ya kujitetea kwa nguvu dhidi ya Waturuki Waosmani walioteka Konstantinopoli mwaka 1453 na kumaliza kabisa Bizanti uliotunza urithi wa Roma ya kale hadi wakati ule.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA