Ukomunisti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: se:Kommunisma
Mstari 114: Mstari 114:
[[scn:Cumunismu]]
[[scn:Cumunismu]]
[[sco:Communism]]
[[sco:Communism]]
[[se:Kommunisma]]
[[sh:Komunizam]]
[[sh:Komunizam]]
[[si:සමසමාජවාදය]]
[[si:සමසමාජවාදය]]

Pitio la 01:53, 10 Januari 2012

Nyundo na Mundu, ni alama ya ukomunisti nguvu ya wafanyakazi.

Ukomunisti ni njia ya kisiasa ya kufikiri na dhana ya jinsi gani jamii inapaswa kufanya kazi na kupanga mambo yake. Ukoministi ni aina ya ushoshalisti ambao unasema kwamba haipaswi kuwa na hali ya utofauti wa madaraja katikia jamii. Ukomunisti unasema kwamba watu wa kila sehemu ya dunia wanapaswa kumiliki zana, viwanda, na mashamba ambayo yanatumiwa kuzalishia bidhaa na vyakula. Mchakato huu wa kijamii hujulikana kama umiliki wa kawaida. Katika jumuia ya wa wakomunisti, hakuna mali binafsi.

Falsafa

Ilani ya Kikomunisti

Kwa mujibu wa waandishi na wafikiri wa Ukomunisti, lengo la Ukomunisti ni kwa ajili ya wafanyakazi kuchukua udhibiti wa viwanda na biashara na kusimamia uchumi kidemokrasia.

Baada ya wafanyakazi wa serikali kuimarisha maslahi yao wangeweza polepole kuleta zana zote za uzalishaji chini ya udhibiti wao, mpaka hapo mfumo wa bila matabaka na hali ya kutokuwa na serikali katika jamii imeumbwa.

Hili ni wazo la kizamani, lakini limeanza kuwa maarufu baada ya Mapinduzi ya Ufaransa na harakati zingine maarufu za huko Ulaya mwanzoni mwa miaka ya 1800.

Pamoja na hoja la kufikia hali ya usawa bila utawala kati ya wanadamu wanaitikadi wa ukomunsti waliona ni lazima kuwa na kipindi cha udikteta ambako wakomunisti wanashika utawala na kukandamiza upinzani dhidi ya mabadiliko waliyoona ya lazima kufikia shabaha yao.

Vladimir Lenin alipanusha nadharia ya ukomunisti akidai lazima kuwa na chama cha kikomunisti kinachopanga mapinduzi na kushika utawala katika kipindi alichoita "udikteta wa wafanyakazi".

Siasa

Historia

Migogoro

Ishara na utamaduni

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA