Kisamba-Leko : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: de:Samba Leko, en:Chamba Leko, pms:Lenga Samba Leko
d Kisamba-Leko (lugha) umesogezwa hapa Kisamba-Leko: mabano siyo lazima
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:02, 9 Januari 2012

Kisamba-Leko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasamba-Leko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba-Leko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba-Leko kiko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamba-Leko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.