Kiiyive : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
→‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d Kiiyive (lugha) umesogezwa hapa Kiiyive: mabano siyo lazima
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:06, 8 Januari 2012

Kiiyive ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waiyive. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiiyive nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 1000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiyive kiko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiyive kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.