Tofauti kati ya marekesbisho "Kusini"

Jump to navigation Jump to search
28 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
(interwiki)
No edit summary
[[File:CompassRose16_S.png|thumb|250px|right|Alama za dira zikionyesha kusini katika hali ya mkoozo]]
'''Kusini''' ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya [[dira]]. Mwelekeo wake ni [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]]. Kinyume chake ni kaskazini.
 
Jina "kusini" laaminiwa limetokana na neno lenye asili ya [[Misri ya Kale]] kwa ajili ya nchi ya [[Kushi]] iliyokuwepo upande wa kusini wa Misri katika Nubia (au Sudani ya leo) pamoja na Uarabuni ya Kusini. Jina la Kushi lapatikana pia katika masimulizi ya Biblia likimtaja mmoja wa wana wa Hamu katika kitabu cha Mwanzo 10:16 kama baba wa watu wa Kushi. Hili neno lilitumiwa na mabaharia Waarabu pia kutaja mwelekeo wa kusini na kwa umbo la "kusi" hasa upepo wa kusini. <ref>linganisha maelezo katika makala "kusini" katika kamusi ya [[M-J SSE]]</ref>

Urambazaji