Screen Actors Guild Awards : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: id:Screen Actors Guild Awards
Mstari 37: Mstari 37:
[[gl:Premio do Sindicato de Actores]]
[[gl:Premio do Sindicato de Actores]]
[[he:פרס גילדת שחקני המסך]]
[[he:פרס גילדת שחקני המסך]]
[[hi:स्क्रीन एक्टर्स गिल्ड अवार्ड्स]]
[[id:Screen Actors Guild Awards]]
[[id:Screen Actors Guild Awards]]
[[is:Screen Actors Guild-verðlaun]]
[[is:Screen Actors Guild-verðlaun]]

Pitio la 10:56, 5 Januari 2012

Screen Actors Guild Awards

The Actor Statuette
Hutolewa kwa ajili ya Kufanya vizuri katika filamu na televisheni kwa wanachamaa wa Screen Actors Guild
Hutolewa na Screen Actors Guild
Nchi United States
Imeanza kutolewa mnamo 1995
Tovuti rasmi

Screen Actors Guild Awards ni jina la kutaja tuzo zinazotolewa kila mwaka na Screen Actors Guild (SAG) kutambulisha au kupambanua kazi zilizofanywa na wanachama wake (yaani, hutolewa kwa ajili ya wanachama wa SAG tu, basi). Kijisanamu kinachotolewa, kinamwonesha mwanaume aliye-mtupu kashikilia visanamu viwili - kimoja cha kuchekesha na kingine cha kusikitisha, kinaitwa Actor.[1] Kina urefu wa inchi 16, uzani wa ratili 12, na ni kalibu ya shaba nzito.

SAG Awards imekuwa moja kati ya sherehe kubwa za ugawaji wa tuzo huko mjini Hollywood tangu mwaka wa 1995.

Marejeo

  1. Screen Actors Guild Awards: Rules. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.

Viungo vya Nje