Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 89: Mstari 89:
Utengano na Maendereo: Seperate Development;
Utengano na Maendereo: Seperate Development;


Watu (Wakaji); Africa(Mashariki) 120m, British 80m, China(South) 70m, Brazil 60m.
Watu (Wakaji); Africa(Mashariki) 120m, British 80m, China(South) 70m, Brazil 60m.


Swahili Welsh Malay Portuguese
Swahili Welsh Malay Portuguese


[[File:Map - DR Congo, major languages.svg|thumb|300px|Maeneo ya lugha kuu za Kongo]]
[[File:Map - DR Congo, major languages.svg|thumb|300px|Maeneo ya lugha kuu za Kongo]]

Pitio la 19:05, 25 Desemba 2011

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo


Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au Kongo-Kinshasa) ni nchi iliyoko Afrika ya Kati; kwa ukubwa wa eneo ni ya pili barani Afrika. Ni tofauti na nchi jirani ya Jamhuri ya Kongo. Kati ya 1971 na 1997 nchi iliitwa "Zaire".

République démocratique du Congo

Jiografia

Nchi imepakana na Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudan Kusini, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, Zambia na Angola. Ina sehemu ndogo iliyopakana na pwani ya Bahari ya Atlantiki. Sehemu hiyo inatenganisha eneo la Cabinda kutoka maeneo mengine ya Jamhuri ya Angola.

Historia

Nchi jinsi ilivyo ilianzishwa kama koloni la Kongo ya Kibelgiji. Jina la Kongo lahusiana na mto Kongo unaopitia nchi yote na pia Ufalme wa Kongo uliopatikana zamani katika sehemu za magharibi za Angola na Kongo ya leo.

Upande wa kusini, kuanzia karne ya 17, kulikuwa na ufalme ulioitwa Dola la Kazembe.

Kati ya 27 Oktoba 1971 na 17 Mei 1997 nchi ilijulikana kwa jina la "Zaire".

  1. Bandundu
  2. Bas-Congo
  3. Équateur
  4. Kasaï Magharibi
  5. Kasaï Mashariki
  6. Katanga
  7. Kinshasa
  8. Maniema
  9. Kivu Kaskazini
  10. Orientale
  11. Kivu Kusini

Mikoa

Nchi imegawiwa kwa mikoa 11. Katiba mpya ilitarajia ugawaji kwa majimbo mapya 25 lakini kanuni hii haikutekelezwa na wakati wa Januari 2011 raisi alitangaza ya kwamba mipango ya ugawaji mpya imefutwa.

Lugha

Ubepari: French, English, Portuguese, Arabic.

Utengano na Maendereo: Seperate Development;

Watu (Wakaji); Africa(Mashariki) 120m, British 80m, China(South) 70m, Brazil 60m.

               Swahili                     Welsh                  Malay             Portuguese
Maeneo ya lugha kuu za Kongo

Kifaransa ni lugha rasmi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ilikuwa lugha ya utawala ya koloni ikaendelea kutumiwa kama lugha isiyoelekea upande wowote kati ya makabila, lugha na tamaduni za nchi hii. Lugha ya Kiholanzi ilitumiwa na Wabelgiji pamoja na Kifaransa katika utawala haiko tena.

Kwa jumla kuna takriban lugha 242 zinazozungumzwa nchini (angalia orodha ya lugha). Lugha 4 zinatambuliwa kama lugha za kitaifa ambazo ni Kikongo (Kituba), Kingala, Kiluba (Tshiluba) na Kiswahili.

Kingala kilikuwa lugha rasmi ya jeshi la kikoloni liloitwa "Force Publique" chini ya utawala wa Ubelgiji likaendelea kuwa lugha ya jeshi la jamhuri baada ya uhuru. Tangu mapinduzi ya 1997 sehemu za jeshi hasa katika mashariki hutumia pia Kiswahili.

Wakati wa ukoloni lugha nne za kitaifa ziliwahi kutumiwa kieneo katika shule za msingi.

Takriban watu 24,320,000 wanatumia Kifaransa kama lugha ya kwanza au ya pili.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.




Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira