Wadudu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Robot: sl:Žuželke is a featured article
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: map-bms:Srangga
Mstari 99: Mstari 99:
[[lt:Vabzdžiai]]
[[lt:Vabzdžiai]]
[[lv:Kukaiņi]]
[[lv:Kukaiņi]]
[[map-bms:Srangga]]
[[mk:Инсект]]
[[mk:Инсект]]
[[ml:പ്രാണി]]
[[ml:പ്രാണി]]

Pitio la 06:19, 23 Desemba 2011

Mdudu
Maumbile ya mdudu
Maumbile ya mdudu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropodi (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
Ngeli: Wadudu (Insecta)

Wadudu ni kundi la wanyama wadogo ambao wana spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya "Insecta".

Wadudu wanashirikiana muundo wa mwili mwenye pande tatu za kichwa mbele, kidari katikati na tumbo nyuma, halafu jozi tatu za miguu na jozi mbili za mabawa. kwa nje mwili unafunikwa kwa chitini yenye kazi ya kiunzi nje.

Hadi sasa wataalamu waliainisha spishi nusu milioni za wadudu na makadirio ni labda kuna spishi nyingi zaidi labda hadi milioni 30.

Wadudu wanaishi karibu kila mahali duniani. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu za tropiki na idadi inapungua penye baridi. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikana Antaktika. Wadudu ni wachache sana baharini lakini hata hapa kuna spishi chache.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadudu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA