Angola : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: su:Angola
Mstari 94: Mstari 94:
* <small>16</small> [[Mkoa wa Namibe|Namibe]]
* <small>16</small> [[Mkoa wa Namibe|Namibe]]
* <small>17</small> [[Mkoa wa Uige|Uige]]
* <small>17</small> [[Mkoa wa Uige|Uige]]
* <small>18</small> [[Mkoa wa Zaire|Zaire]]
* <small>18</small> [[Mkoa wa Zaira|Zaira]]
|}
|}
Munisipaa: ona [[Munisipaa za Angola]]
Munisipaa: ona [[Munisipaa za Angola]]

Pitio la 18:14, 21 Desemba 2011

Angola


Angola ni nchi kusini ya kati ya bara Afrika inayopakana na Namibia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Zambia, na pia upande wa magharibi kuna pwani defu ya Bahari Atlantiki. Mkoa wa Kabinda umezungukwa na kupakana na Jamhuri ya Kongo. Angola yenyewe ni nchi tajiri kwa madini, mafuta na almasi ndiyo muhimu zaidi. Lakini nchi ni maskini kutokana na vita ya miaka 29; kwanza vita ya kupigania uhuru dhidi ya Ureno iliyofuatwa na vita ya wenyewe hadi 2002.

Nchi yenyewe hasa ni demokrasia na yajulikana kama Jamhuri ya Angola (Kireno: República de Angola, kwa kutamka. IPA: /ʁɛ.'pu.βli.kɐ dɨ ɐ̃.'ɣɔ.lɐ/).

Asili na historia ya jina Angola

Jina Angola yatokana na lugha ya Bantu neno N’gola, ambayo ilikuwa jina ya kiongozi wa ufalme wa Kwimbundo karne ya 16, ambapo wakoloni Wareno walianza ukoloni eneo hii.

Historia

Kuanzia karne ya 16, falme mbalimbali zilienea sehemu za Angola, kwa mfano Dola la Lunda na Dola la Kasanje.

Siasa

Hadabu ya nchi Angola ni Virtus Unita Fortior, kumaanisha "umoja tupe nguvu"

Eneo za angola

Ramani ya Angola na Mikoa iliohesabiwa
Ramani ya Angola na Mikoa iliohesabiwa

Tako la Kifungu: Mikoa ya Angola, Munisipaa za Angola

Angola imegawa kwa mikoa 18 (províncias) na munisipaa 158 (municípios).
Mikoa ni:

Munisipaa: ona Munisipaa za Angola

Jiografia

Ramani ya Angola

Tako la kifungu: Jiografia ya Angola

Mikoa inayozungukwa na Eneo

Luanda, mji mkuu wa angola

Angalia pia

Kifungu wazowazo

Uchambuzi

  • maadishi mengi kutoka kifungu hichi yametoka kutoka kitabu cha wadadisi wa marekani cha mwaka 2000 na 2003 na pia kutoka kifungu cha idara ya mambo ya nnje, marekani.

Viungo via nnje

[[Portal:{{{1}}}|{{{1}}} portal]]

Kigezo:Zinazohusika

Serikali

Habari

  • allAfrica - Angola - viungo via habari
  • Angola Press -idara ya Taarifa na habari ya Angola (kwa kireno, kifaransa na kingereza)
  • Angonoticias (kwa kireno) -lango la habari lenye sifa Angola
  • Mangole (kwa kireno) - ya habari nchini Angola na pia maelekezo ya makala kwa kompyuta.
  • Jornal de Angola (kwa kireno) - Gazeti lenye sifa Angola

Maoni

Radio & Muziki

Maelekezo

Utalii

Mambo mengine


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira