Haki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: xmf:თინსარჯულუა
Mstari 55: Mstari 55:
[[uk:Справедливість]]
[[uk:Справедливість]]
[[ur:عدل]]
[[ur:عدل]]
[[xmf:თინსარჯულუა]]
[[yi:יוסטיץ]]
[[yi:יוסטיץ]]
[[zh:公平正義]]
[[zh:公平正義]]

Pitio la 05:21, 21 Desemba 2011

Maadili bawaba
Haki

Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano.

Kwa Kigiriki inaitwa dikaiosyne, kutokana na neno asili dike yaani anayeelekeza na kwa hiyo pia mwongozo, utaratibu. Tofauti na nomos, yaani sheria inayoongoza wanyama pia, dike inahitajiwa na binadamu ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha bie, ukatili, nguvu inayoangamiza. Dikaios (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. Dikaia zoe ni maisha ya kiutu yanayopingana na hybris (kiburi) na ushenzi.

Kwa Kilatini kutokana na neno jus, haki, linapatikana neno justus, mwenye kujali haki, na hatimaye justitia, iliyo adili la msingi la utu linalotufanta tumpatie mwingine anachostahili.