Mstari mnyoofu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: as:ৰেখা
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ia:Recta
Mstari 42: Mstari 42:
[[hu:Egyenes]]
[[hu:Egyenes]]
[[hy:Ուղիղ]]
[[hy:Ուղիղ]]
[[ia:Recta]]
[[id:Garis (geometri)]]
[[id:Garis (geometri)]]
[[io:Lineo]]
[[io:Lineo]]

Pitio la 18:53, 20 Desemba 2011

Mistari minyoofu katika mfumo majira

Mstari mnyoofu (pia: Mstari ulionyooka) ni hoja la kijiometria. Katika tambarare mstari mnyoofu ni njia fupi kati ya nukta mbili inayoendelea kila upande bila badiliko la mwelekeo. Hauna mwisho au mwanzo wala upana au unene.

Kwa lugha nyingine ni jumla ya nukta zote zilizopo kwenye njia hiyo.

Tena kwa lugha nyingine ni mwelekeo wa nukta inayoelekea mahali bila kubadilisha mwelekeo huu. Kigezo:Link FA