Kisamba-Leko : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kisamba-Leko''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasamba-Leko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji w...'
 
→‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
Mstari 2: Mstari 2:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/ndi lugha ya Kisamba-Leko kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/ndi.html ramani ya Kisamba-Leko]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=ndi
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=ndi



Pitio la 15:14, 18 Desemba 2011

Kisamba-Leko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasamba-Leko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba-Leko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba-Leko kiko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamba-Leko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.