Mmea : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d r2.7.2) (roboti Badiliko: sa:ओषधयः |
d r2.7.2) (roboti Badiliko: nah:Tlanelhuayōtl |
||
Mstari 127: | Mstari 127: | ||
[[my:အပင်]] |
[[my:အပင်]] |
||
[[myv:Касыкс]] |
[[myv:Касыкс]] |
||
[[nah: |
[[nah:Tlanelhuayōtl]] |
||
[[nds:Planten]] |
[[nds:Planten]] |
||
[[nds-nl:Plaanten]] |
[[nds-nl:Plaanten]] |
Pitio la 19:14, 17 Desemba 2011
Mimea ni moja ya kundi la viumbe hai duniani ikijumuisha miti, maua, mitishamba,n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
Sayansi inayochunguza mimea huitwa botania ni kitengo cha biolojia. Kwenye uainishaji wa kisayansi Mimea hujumlishwa katika himaya ya planta kwenye milki ya Eukaryota.
Kwa jumla mimea huwa na uwezo wa usanisinuru yaani hujilisha kwa msaada wa nuru.
Album
-
Mvumo wa Asia Borassus flabellifer
-
Mavumo Borassus flabellifer (yaitwayo Thaati Munjelu kwa kienyeji) yanayouzwa katika soko ya Guntur, Uhindi.
-
Manjano
-
Kiazi kitamu, Ipomoea batatas, Bustani ya Kibotaniki ya Maui Nui
-
Mkadi wa Asia (Pandanus amaryllifolius)
-
Papai la Kalifornia
-
Mapapai (Carica papaya), kultivari 'Sunset'
-
Mzumari (Cymbopogon citratus)
-
Pachyrhizus erosus, aina ya tunguu. Situgede, Bogor, Java ya Magharibi, Indonesia.
-
Tufaa aina ya Kiku
-
Miche ya Sauropus androgynus
-
Nazi (Cocos nucifera)
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mmea kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |