Vita ya miaka 100 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: hy:Հարյուրամյա պատերազմ
Mstari 57: Mstari 57:
[[hr:Stogodišnji rat]]
[[hr:Stogodišnji rat]]
[[hu:Százéves háború]]
[[hu:Százéves háború]]
[[hy:Հարյուրամյա պատերազմ]]
[[id:Perang Seratus Tahun]]
[[id:Perang Seratus Tahun]]
[[io:Cent-yara milito]]
[[io:Cent-yara milito]]

Pitio la 12:42, 13 Desemba 2011

Ramani inaonyesha maeneo ya vita

Vita ya miaka 100 ilikuwa kipindi cha mapigano kati ya Ufaransa na Uingereza kilichodumu miaka 116 kuanzia mwaka 1337 hadi 1453.

Vita ilianza kwa sababu mfalme Charles IV wa Ufaransa aliaga dunia 1328 bila ya kumwacha mrithi, na mfalme Edward III wa Uingereza aliamini kwamba yeye mwenyewe ana haki ya kurithi cheo hiki kwa kuwa mama yake alitoka katika nasaba ya kifalme ya Kifaransa.

Wafaransa wengi walikataa na hii ilikuwa sababu ya vita.

Mwishowe Waingereza walipaswa kujiondoa katika Ufaransa mzima, hata katika maeneo makubwa waliyowahi kuyatawala chini ya mamlaka ya jina tu ya mfalme wa Ufaransa.

Viungo vya Nje

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA