Ng'ombe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: uk:Корова
No edit summary
Mstari 30: Mstari 30:
Wataalamu huamini ya kwamba aina zote za ng'ombe zina asili katika [[mashariki ya kati]] mnamo [[milenia ya 9 KK]] ambako watu waliwahi kuwafuga na kutoka hapa [[ufugaji]] ng'ombe ulisambaa kote duniani.
Wataalamu huamini ya kwamba aina zote za ng'ombe zina asili katika [[mashariki ya kati]] mnamo [[milenia ya 9 KK]] ambako watu waliwahi kuwafuga na kutoka hapa [[ufugaji]] ng'ombe ulisambaa kote duniani.


Ng'ombe wanapatikana kote duniani na kuna aina kwa kila namna ya [[hali ya hewa]]. Wengine huishi katika milima [[baridi]] za [[Uskoti]] au [[Skandinavia]], wengine katika [[joto]] la [[Afrika]] au [[Australia]].
Ng'ombe wanapatikana kote duniani na kuna aina kwa kila namna ya [[hali ya hewa]]. Wengine huishi katika milima [[baridi]] za [[Uskoti]] au [[Skandinavia]], wengine katika [[joto]] la [[Africa]] au [[Australia]].


Wanacheua [[chakula]] chao na huwa na [[tumbo]] lenye vyumba vinne. Baada ya kula [[nyasi]] mara ya kwanza wanairudisha kutoka chumba cha kwanza cha tumbo na kuitafuna tena. Kwa njia hii wanapata lishe nyingi kutoka nyasi.
Wanacheua [[chakula]] chao na huwa na [[tumbo]] lenye vyumba vinne. Baada ya kula [[nyasi]] mara ya kwanza wanairudisha kutoka chumba cha kwanza cha tumbo na kuitafuna tena. Kwa njia hii wanapata lishe nyingi kutoka nyasi.

Ngombe za kiafrica:

1. Tutsi/Ankole

2. Zebu

3. Boran

4. Ngoni


<gallery>
<gallery>

Pitio la 14:10, 2 Desemba 2011

Ng'ombe
Kundi la ng'ombe
Kundi la ng'ombe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
Nusufamilia: Bovinae (Wanyama wanaofanana na ng'ombe)
Jenasi: Bos (Ng'ombe)
Spishi: B. primigenius
(Bojanus, 1827)
Ngazi za chini

nususpishi 3:

Ng'ombe ni wanyama wakubwa wa jenasi Bos. Spishi ya ng'ombe ina nususpishi au aina nyingi lakini ni spishi moja tu.

Ng'ombe hula manyasi na kutembea kwa vidole viwili.

Asili yake ni aina za ng'ombe wa pori waliofugwa na binadamu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi anatumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.

Wataalamu huamini ya kwamba aina zote za ng'ombe zina asili katika mashariki ya kati mnamo milenia ya 9 KK ambako watu waliwahi kuwafuga na kutoka hapa ufugaji ng'ombe ulisambaa kote duniani.

Ng'ombe wanapatikana kote duniani na kuna aina kwa kila namna ya hali ya hewa. Wengine huishi katika milima baridi za Uskoti au Skandinavia, wengine katika joto la Africa au Australia.

Wanacheua chakula chao na huwa na tumbo lenye vyumba vinne. Baada ya kula nyasi mara ya kwanza wanairudisha kutoka chumba cha kwanza cha tumbo na kuitafuna tena. Kwa njia hii wanapata lishe nyingi kutoka nyasi.

Ngombe za kiafrica:

1. Tutsi/Ankole

2. Zebu

3. Boran

4. Ngoni


Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Kigezo:Link FA