Kuku-mwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Lugha nyingine
Ramani na picha
Mstari 2: Mstari 2:
| rangi = pink
| rangi = pink
| jina = Kuku-mwamba
| jina = Kuku-mwamba
| picha = White-necked Rockfowl (Picathartes gymnocephalus)cropped.jpg
| picha = PicathartesKeulemans.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Kuku-mwamba shingo-nyeupe
| maelezo_ya_picha = Kuku-mwamba shingo-nyeupe
Mstari 16: Mstari 16:
| spishi = ''[[Picathartes gymnocephalus|P. gymnocephalus]]'' <small>([[Coenraad Jacob Temminck|Temminck]], 1825)</small><br>
| spishi = ''[[Picathartes gymnocephalus|P. gymnocephalus]]'' <small>([[Coenraad Jacob Temminck|Temminck]], 1825)</small><br>
''[[Picathartes oreas|P. oreas]]'' <small>[[Anton Reichenow|Reichenow]], 1899</small>
''[[Picathartes oreas|P. oreas]]'' <small>[[Anton Reichenow|Reichenow]], 1899</small>
| ramani = PicathartesDistribution.svg
| maelezo_ya_ramani = Usambazaji wa kuku-mwamba (pinki=P. gymnocephalus; buluu=P. oreas)
}}
}}
'''Kuku-mwamba''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kiasi wa [[jenasi]] ''[[Picathartes]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Picathartidae]]. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[Afrika]] kusini kwa [[Sahara]]. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la [[kunguru]] na kichwa bila manyoya chenye rangi kali (nyeusi na njano au nyekundu). Pia wana rangi ya nyeusi au kijivucheusi juu na nyeupe chini. Shingo yao ni nyeupe au ina rangi ya kijivu. Hula [[mdudu|wadudu]], kama [[bungo]], [[mchwa]] na [[sisimizi]], pia [[jongoo]], [[tandu]], [[nyungunyungu]], [[konokono]] na hata [[chura|vyura]] na [[mjusi|mijusi]]. Hulijenga tago lao kwa matope chini ya mwamba. Jike huyataga [[yai|mayai]] mawili.

Mstari 22: Mstari 24:
* ''Picathartes gymnocephalus'', [[Kuku-mwamba Shingo-nyeupe]] ([[w:White-necked Rockfowl|White-necked Picathartes]] au Rockfowl)
* ''Picathartes gymnocephalus'', [[Kuku-mwamba Shingo-nyeupe]] ([[w:White-necked Rockfowl|White-necked Picathartes]] au Rockfowl)
* ''Picathartes oreas'', [[Kuku-mwamba Shingo-kijivu]] ([[w:Grey-necked Rockfowl|Grey-necked Picathartes]] au Rockfowl)
* ''Picathartes oreas'', [[Kuku-mwamba Shingo-kijivu]] ([[w:Grey-necked Rockfowl|Grey-necked Picathartes]] au Rockfowl)

==Picha==
<gallery>
File:PicathartesReichenow.jpg|Kuku-mwamba shingo-nyeupe na shingo-kijivu
</gallery>

[[Jamii:Kunguru na jamaa]]
[[Jamii:Kunguru na jamaa]]

Pitio la 08:23, 30 Novemba 2011

Kuku-mwamba
Kuku-mwamba shingo-nyeupe
Kuku-mwamba shingo-nyeupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Corvoidea (Ndege kama kunguru)
Familia: Picthartidae (Ndege walio na mnasaba na kuku-mwamba)
Jenasi: Picathartes
Lesson, 1828
Spishi: P. gymnocephalus (Temminck, 1825)

P. oreas Reichenow, 1899

Usambazaji wa kuku-mwamba (pinki=P. gymnocephalus; buluu=P. oreas)
Usambazaji wa kuku-mwamba (pinki=P. gymnocephalus; buluu=P. oreas)

Kuku-mwamba ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Picathartes, jenasi pekee ya familia Picathartidae. Wanatokea misitu ya Afrika kusini kwa Sahara. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la kunguru na kichwa bila manyoya chenye rangi kali (nyeusi na njano au nyekundu). Pia wana rangi ya nyeusi au kijivucheusi juu na nyeupe chini. Shingo yao ni nyeupe au ina rangi ya kijivu. Hula wadudu, kama bungo, mchwa na sisimizi, pia jongoo, tandu, nyungunyungu, konokono na hata vyura na mijusi. Hulijenga tago lao kwa matope chini ya mwamba. Jike huyataga mayai mawili.

Spishi

Picha